Friday, October 11, 2013

CLUB TWISTAR IRINGA IRINGA WAKO MOTOOOOO

Hivi ndivyo msanii Shilole alivyopagawisha mjini Iringa usiku wa leo katika club ya wajanja ya Twistars
Wanyange wakijiachia katika club ya Twistars wakati wa onyesho la msanii Shilole 
DJ Kwasa ambae ni DJ Maarufu kanda za kusini akitimiza wajibu ,kushoto ni pacha wake DJ Allen Philip vichwa viwili kama milioni mbili
Msanii Shilele akiwajibika jukwaani
Mashabiki wakijiachia
Mwanahabari wa mtandao huu Denis Mlowe akiwa amepozi na warembo